Car4Sale 2013 Mazda CX-5 on sale!

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
67,111
173,929
Heri ya mwaka mpya kwa ambao hatujaona toka mwaka jana.

Niko na hii gari hapa inaitwa Mazda CX-5 ni crossover SUV. Ina Engine ni 2.2 Turbo diesel yenye 175HP ina nguvu na mwendo wa kutosha kupitia skyactiv technology. Iko imported tayari with all duties paid.

Hii gari naiachia kwa bei ya 32 Million ntakupa na file wewe ukafanye usajili tu. Ukilipa 33 Millions basi usajili nitakufanyia mwenyewe kabisa. Karibuni kwa mawasiliano zaidi waweza nicheki kupitia 0773411415.

IMG-20240105-WA0027.jpg
IMG-20240105-WA0021.jpg
IMG-20240105-WA0022.jpg
IMG-20240105-WA0018.jpg
IMG-20240105-WA0037.jpg
IMG-20240105-WA0039.jpg
IMG-20240105-WA0028.jpg
IMG-20240105-WA0035.jpg
IMG-20240105-WA0023.jpg
 
Heri ya mwaka mpya kwa ambao hatujaona toka mwaka jana.

Niko na hii gari hapa inaitwa Mazda CX-5 ni crossover SUV. Ina Engine ni 2.2 Turbo diesel yenye 175HP ina nguvu na mwendo wa kutosha kupitia skyactiv technology. Iko imported tayari with all duties paid.

Hii gari naiachia kwa bei ya 32 Million ntakupa na file wewe ukafanye usajili tu. Ukilipa 33Millions basi usajili ntakufanyia mwenyewe kabisa. Karibuni kwa mawasiliano zaidi waweza nicheki kupitia 0773411415.
Ingekuwa siyo wewe bro. Nungefanya KA utani KA JF. Sasa basi ngoja niwaachie wengine!
 
Kuna mtu nilimuahidi nitamnunulia IST mwaka Jana matokeo yake ukaisha bila bila, huku kwenye 32M ndiyo nitafika Leo, eeh' Jehovah Shama tutie nguvu..!🤭
Mac Alpho 😂😂
Makao makuu kuzurura kwa miguu sio poa kabisa, kwani bado haujavunja kule? Maana naona mwaka umeisha kimyakimya, wakati kikawaida ni lazima kivunjwe kikoba.

😂😂😂
 
Makao makuu kuzurura kwa miguu sio poa kabisa, kwani bado haujavunja kule? Maana naona mwaka umeisha kimyakimya, wakati kikawaida ni lazima kivunjwe kikoba.

😂😂😂
😂😂
Mzee una mahesabu ya mbali halafu makali kinoma..!! Nilikuambia nitakufunza budget sivyo..?? Kaa hapa utulie uone hili picha linavyochezeshwa, usiponipa 'salute' basi tena..!!
 
Back
Top Bottom