uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,406
- 3,594
Kwa nini huweki namba ya simu kurahisisha mawasiliano ndugu??Toyota brevis
Cc 2900
Ipo mlandizi
Popote inafika
Bei milioni 3 na nusu
Sawa mkuuWanakuja
Sawa mkuu,na edit nawekaKwa nini huweki namba ya simu kurahisisha mawasiliano ndugu??
SawaNaomuona mke wa kikatoliki aking'ang'ania talaka
Kiufupi brevis ni jini haliuziki km ndoa ya kikatoliki ukifunga nayo mpaka kifo
Yes baby brevis🥰
Nahitaji hii gari.Jini
Tafuta elaJini
Utakuta hana hata baiskeli!Tafuta ela
M3 ziko mfuko wa shatiYes baby brevis🥰
Mi mwenyewe nilitaka niku tag
Tayari niko na M1 hapa mshawishi achukue M2, M1 tunatumia kuweka PiruuM3 ziko mfuko wa shati
Shida ni jini 🤣🤣
Au ndio niendelee kutafuta hela?
Kha, yani uwe na hela ununue Brevis kweli? Tafuta hela uache mawazo finyu.Tafuta ela
Leta ,inakufaa hivi,dar chuga dakika 0M3 ziko mfuko wa shati
Shida ni jini 🤣🤣
Au ndio niendelee kutafuta hela?