House4Sale Appartments 06 zinauzwa Dodoma

steven13

JF-Expert Member
Aug 8, 2014
319
162
APPARTMENTS ZINAUZWA-KARIBU NA KITUO CHA DALADALA
_____
SABABU YA KUUZA-BOSS KAKWAMA KIFEDHA
______
MAHALI-NKUHUNGU
______
UMBALI TOKA BARABARA YA LAMI-80M
______
-ZIKO APPARTMENTS 06 KWENYE COMPOUND MOJA
______
MUUNDO WA KILA APPARTMENT
-MASTA
-SEBULE
-JIKO
_______
HUDUMA
-MAJI YAPO (WANALIPA KUTOKANA NA BILI)
-UMEME KILA APPARTMENT INAJITEGEMEA
_______
APPARTMENTS HIZI ZINA WAPANGAJI (KILA MMOJA ANALIPA 220,000/= KWA MWEZI)

ZOTE KWA MWEZI-1,320,000/=

KWA MWAKA-15,840,000/=
________
UKUBWA WA KIWANJA-450Sqm
________
DOCUMENT-HATI
_______
BEI-135M TU
_______
GHARAMA ZA KWENDA KUONA-BURE
_______
MAWASILIANO
0767833496
0622111186
photo-output.jpg

IMG_0918.jpg

IMG_0922.jpg

IMG_0912.jpg

IMG_0915.jpg

IMG_0920.jpg

IMG_0924.jpg

IMG_0923.jpg

IMG_0911.jpg
 
Nzuri hizi, ningekuwa na pesa ningekuja tuongee, sema ndo hivyo sina 😂
 
Watu walikurupuka kuwekeza projects ambazo Dodoma haina uwezo wa ku absorb.
hakunaga biashara kwenye miji iliyokuzwa kisiasa. KFC yupo radhi afungue outlet magomeni mapipa kuliko kwenda kuwekeza huko capital city
Dodoma nyumba ni deal, wanasiasa wanakwenda sana kule, so wengi wana nyumba Dom na Dar,
 
Watu walikurupuka kuwekeza projects ambazo Dodoma haina uwezo wa ku absorb.
hakunaga biashara kwenye miji iliyokuzwa kisiasa. KFC yupo radhi afungue outlet magomeni mapipa kuliko kwenda kuwekeza huko capital city
Lakini Mji umekuwa kabla ya 2015 kulikuwa hakuna restaurant za maana ila Sasa hivi ukienda zipo za kutosha. Idadi ya magari imeongezeka sana kiasi kwamba Kuna wakati zinatokea foleni japo si kubwa kama Dar (magari mengi maana yake faida kwa wauza mafuta na huduma nyingine.

Kabla ya 2015 ilikuwa rahisi wageni kupata nyumba nzuri kwa bei chee, ila hivi Sasa zimepanda sana na ujenzi unaendelea.

Ilikuwa ni ajabu Mtu kwenda kuanzisha supermarket au mall, ila Sasa hivi Kuna Shopaz plaza. Hotel zimeongezeka sana.

Kwangu mimi naona ukuaji wake upo fair kulingana na Mji ulipotoka
 
A

Anazungumzia faida katika hizo hoteli na sups market zilizofunguliwa
 
Lakini Mji umekuwa kabla ya 2015 kulikuwa hakuna restaurant za maana ila Sasa hivi ukienda zipo za kutosha. Idadi ya magari imeongezeka sana kiasi kwamba Kuna wakati zinatokea foleni japo si kubwa kama Dar (magari mengi maana yake faida kwa wauza mafuta na huduma nyingine.

Kabla ya 2015 ilikuwa rahisi wageni kupata nyumba nzuri kwa bei chee, ila hivi Sasa zimepanda sana na ujenzi unaendelea.

Ilikuwa ni ajabu Mtu kwenda kuanzisha supermarket au mall, ila Sasa hivi Kuna Shopaz plaza. Hotel zimeongezeka sana.

Kwangu mimi naona ukuaji wake upo fair kulingana na Mji ulipotoka
Kuna utofauti sana ya Dodoma ya 2015 na ya leo, ni kweli Dodoma inakuwa sana ila Sio kibiashara.
Huyu anayeuza apartments ni moja Kati ya wengi waliofeli kibiashara baada ya ku overate Dodoma, akaweka pesa kwenye project ambayo kimsingi ni over size kwa mji wa Dom.
Huwa napenda sana kutoka mifano ya Food points za KFC! Jamaa wanajua asee, they are spot on. Especially kwenye target wateja wao. Mbagala ina watu tele lakini hutakuta store ya KFC
 
Kwa Taarifa yako wanafungua Mbagala sio Muda mrefu

Wapo kwenye Contract na Kituo kimoja Cha Mafuta

Kf... ifikapo 2025 itakua na Matawi 10 Dsm mpya

Maeneo yanayopendekezwa ni Goba Center, Mbezi Mwisho ,Mbagala, Airport, Tegeta Kuna jengo wanasubiri soon

Niishie hapo
 
Angezigeuza kuwa brothels angepiga pesa maana huo mji una wafanyabiashara (makahaba) wengi wauzao mbunye
 
Kwa Taarifa yako wanafungua Mbagala sio Muda mrefu

Wapo kwenye Contract na Kituo kimoja Cha Mafuta

Kf... ifikapo 2025 itakua na Matawi 10 Dsm mpya

Maeneo yanayopendekezwa ni Goba Center, Mbezi Mwisho ,Mbagala, Airport, Tegeta Kuna jengo wanasubiri soon

Niishie hapo
Naongelea logics za hao KFC wanapotaka kufungua tawi, they rarely bet wrong.! Inaezekana kweli wamoina potential za kufungua tawi mbagala hilo siwezi bisha .
 
Watu walikurupuka kuwekeza projects ambazo Dodoma haina uwezo wa ku absorb.
hakunaga biashara kwenye miji iliyokuzwa kisiasa. KFC yupo radhi afungue outlet magomeni mapipa kuliko kwenda kuwekeza huko capital city
Mimi ni mmoja wa wahanga. Aisee ninajuta mpaka kesho. Dodoma pamekuwa pagumu sana kibiashara tangu Magufuli alipofariki.
 
Naongelea logics za hao KFC wanapotaka kufungua tawi, they rarely bet wrong.! Inaezekana kweli wamoina potential za kufungua tawi mbagala hilo siwezi bisha .
KFC ni habari ingine kwenye ku point location.

Huwezi kuta KFC imefunguliwa sehemu halafu wakaja wakaifunga.

Research za Team ya huyu mzee sio ya kawaida inaumiza kichwa hada its like wanakagua hadi hela tunazopta nazo njia wanayotaka kuweka Kitu chao.

Surprise ya MAPIPA imenifanya niwape nyota 10 kfc kwa kupoint location.
 
Ni sawa ila Hata Magomeni watu waliona why anafungua wakati ni kilometa Moja to Fire?

Mabagala soon wanafanyiwa suprize😅

Ila ipo sahihi awakurupuki kama akina Mo embe, nk
 
KFC ni habari ingine kwenye ku point location.

Huwezi kuta KFC imefunguliwa sehemu halafu wakaja wakaifunga.

Research za Team ya huyu mzee sio ya kawaida inaumiza kichwa hada its like wanakagua hadi hela tunazopta nazo njia wanayotaka kuweka Kitu chao.

Surprise ya MAPIPA imenifanya niwape nyota 10 kfc kwa kupoint location.
Hawakurupuki and they rarely bet wrong when choosing location.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom