Wakuu habarini za weekend? Napenda kuwaletea taarifa za kuwapo kwa set mbili za chumba self, sebule na jiko lake zinazopangishwa Kigamboni.
Zote ziko katika kiwango cha juu na kodi zake ni sh...
Habari wadau,samahani kwa wale wenye kujua ni wapi naweza kununua mananasi na matikiti ya jumla kwa mikoa ya Dar es salaam na pwani naomba anijulishe!ahsante
Viwanja vya ukubwa wa 20*20 vinauzwa, eneo la kibaha picha ya ndege, maeneo yapo km 1.5 kutoka barabara kuu ya morogoro! Bei ni tsh 3M! Kwa mawasiliano zaidi 0656142433
Habari wanajamii;
Kuna kiwanja kinauzwa hapa Kibaha kwa Mathias. Bei ni shillingi MILLIONI 17 .Sifa za eneo la kiwanja kilipo:-
1:Umbali kutoka kituo cha daladala Kwa Mathias bara bara ya...
Nahitaji gari aina ya Ra4 ya kununua, 5doors, engine VVT-i.
Iwe katika hali nzuri sn na isiwe ina historia ya kupata ajali.
Nipo Dar..budget yangu c zaidi ya 11m.
Only call& texts to-
0714010511
Make: Toyota Nadia
Make Year: 1999
Body type: Station Wagon
Type: 5 Doors
Engine Capacity: 1900 CC
Engine Type: 3S
Mileage: 140,500 kms
Colour - Red
Registration number T...ASQ
Reasons to sale...
Viwanja viwili vinauzwa Vikindu maeneo Jirani na chuo kikuu kipya (St. Augustine). Cha kwanza ni 20x20 m² bei 3m. Cha pili ni Ekari moja bei 15m. Wahi fursa hii kabla chuo hakijajulikana kwa watu...
OK ndugu zangu ni yule yule Dalali wako was ukweli,salsa nakutangazia we we ndugu yangu mpendwa kwamba kuna viwanja na mashamba mazuri katika wilaya ya mkuranga iliyopo karibu sana na jiji la dar...
Natafuta chumba na sebule kgamboni dar, chumba na sebule nachotaka kiwe kinajitegemea namaanisha mlango wa kuingilia kwenye hyo sebule uwe wa peke yake sio wa kuchangia na vyumba vngne, viwe na...
Nyumba nzuri sana ya
Kisasa(Self contained) yenye vyumba 3 vya kulala, sebule, dining na
jiko,fence, parking ya magari 5, na majirani wastaarabu inapangishwa Kigamboni kwa sh. 400,000
kwa...
Mbutu- vina offer vipo 10
Kuanzia Sqm 800 mpaka 1200.
Bei 12,000 @ sqm
Payment terms: 100%
Mwasonga Chekeni vilikuwa 245 vimebaki 138
Kuanzia Sqm 400 mpaka 5,500
Bei 6500 @ sqm
Hiyo bei ina...
Chumba kinatafutwa mitaa ya survey au changanyikeni..
Specs...kuwe kuna acess ya maji, umeme na usalama
Bei. Maelewano....
Na galaxy S2 inatafutwa kwa 250000.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.