Viwanja vinauzwa kigamboni

Viwanja vinauzwa kigamboni

akohi

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2012
Posts
787
Reaction score
527
Mbutu- vina offer vipo 10
Kuanzia Sqm 800 mpaka 1200.
Bei 12,000 @ sqm
Payment terms: 100%

Mwasonga Chekeni vilikuwa 245 vimebaki 138
Kuanzia Sqm 400 mpaka 5,500
Bei 6500 @ sqm
Hiyo bei ina include gharama za kupata hati.

Viwanja vya mwasonga vimepakana na mradi wa Open University, Muhimbili National Hospital, Duce na pia pana Supermarkets, Shule, Housing estate, Recreation centres, Public buildings, Health Centres etc.

Payments: 60% up front
40% after complition of documents.

Ukideposit unapewa mkataba wa mauziano against your deposit slip

Office:
Nkuruma str, Lida house, 1st floor, room no 120

Giant Goldmax Limited
CRDB vijana branch
Acc: 01J 1095095900

Site visit can be arranged over the weekend ila kama mtu anausafiri wake anaweza kuelekezwa muda wowote.

Alfred - 0764800989
Whatsapp, Sms or Call
 
Siyajui vizuri hayo maeneo. Ila je kuna ambacho kiko karibu na beach?
 
Mbutu na Mwasonga ni maeneo yaliyopo kigamboni, takriban km 30 toka ferry na mbutu iko mwambao na bahari ya hindi, Mwasonga iko mbele ya Dar es salaam zoo
 
Mbutu na Mwasonga ni maeneo yaliyopo kigamboni, takriban km 30 toka ferry na mbutu iko mwambao na bahari ya hindi, Mwasonga iko mbele ya Dar es salaam zoo

Mkuu hivyo vya Mwasoga vimepimwa Kwa kuafuata master plan ya manispaa husika?
 
Yes havina tatizo na ndo maana unapata hati na vilikuwa 245 vimebaki 130. Vimezungukwa na viwanja vya wafanyakazi wa muhimbili, duce na open university kwa kupitia saccoss zao.
 
Taarifa kwa ambao wanahitaji kuja kuona na kupata uhalisia wa maeneo, maomba wanijulishe ili jmosi na jpili waweze kupelekwa site. 0764800989
 
Karibuni sana, viwanja vya Mbutu ni 500m toka baharini, vimebaki vya 1800sqm na 1400sqm.

alfredmkohi@gmail.com
0764800989 whatsapp, sms or call
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom