Manunuzi ya nanasi na matikiti

Manunuzi ya nanasi na matikiti

Farmer82

Senior Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
183
Reaction score
39
Habari wadau,samahani kwa wale wenye kujua ni wapi naweza kununua mananasi na matikiti ya jumla kwa mikoa ya Dar es salaam na pwani naomba anijulishe!ahsante
 
nenda bagamoyo matikiti mto Ruvu nanasi kuanzia Fukayosi hadi Kiwangwa utapata ya kumwaga
 
Habari wadau,samahani kwa wale wenye kujua ni wapi naweza kununua mananasi na matikiti ya jumla kwa mikoa ya Dar es salaam na pwani naomba anijulishe!ahsante

Natarajia kuvuna matikiti wikiend ijayo, karibu PM kwa maongezi zaidi!!
 
Back
Top Bottom