Rav4 inahitajika urgently

Rav4 inahitajika urgently

BIGURUBE

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
6,748
Reaction score
4,258
Nahitaji gari aina ya Ra4 ya kununua, 5doors, engine VVT-i.
Iwe katika hali nzuri sn na isiwe ina historia ya kupata ajali.
Nipo Dar..budget yangu c zaidi ya 11m.
Only call& texts to-
0714010511
 
Km mtu anayo it's tuwasiliane kwa cm maana ni mara chache naingia JF
 
ipo hii,bei inatakiwa milioni 12
 

Attachments

  • IMG-20141011-WA0000.jpg
    IMG-20141011-WA0000.jpg
    73 KB · Views: 134
  • IMG-20141011-WA0005.jpg
    IMG-20141011-WA0005.jpg
    74.5 KB · Views: 140
haya naona .. dip pub ashakupatia moto iangalie hiyo kwanza
 
Last edited by a moderator:
Dipub hachezi mbali,hahahah.
maana hata ukita tractor anakutafutia
Kitu hicho ushindwe mwenyewe,hapo ukikipamba kinakuwa mwake
 
Back
Top Bottom