Jipatie eneo jirani na chuo kikuu kipya St. Augustine

Jipatie eneo jirani na chuo kikuu kipya St. Augustine

Migomba

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2013
Posts
945
Reaction score
1,339
Viwanja viwili vinauzwa Vikindu maeneo Jirani na chuo kikuu kipya (St. Augustine). Cha kwanza ni 20x20 m² bei 3m. Cha pili ni Ekari moja bei 15m. Wahi fursa hii kabla chuo hakijajulikana kwa watu wengi maana bei zinapanda kila siku. Call / whatsapp 0688935989.
 
Vikindu ni mkoa wa pwani njia ya kwenda mtwara unavuka kongowe na kiwanda cha Azam cola. Hati ni za serikali ya kijiji
 
Back
Top Bottom