Jipatie kiwanja mwasonga-Kigamboni kwa 3.5 millions kwa hekari moja.
Kiwanja hicho kipo karibu shule ya msingi kichangani mbele kidogo ya Nyumba za Nssf!
Kiwanja hicho kimepakana na kiwanja...
husika na kichwa cha habari hapo juu nahitaji pikipiki ya kununua na offa yangu ni laki 7 na iwe na vitu vyote vya muhimu kama kadi yake original,na tataenda kuandikishiana kwenye vyombo vya...
Wadau, mwenye link ya hii huduma tafadhali saidia.
Natafuta importer wa ream papers aina ya Mond Number 1, Dolphin, Nopa au Mond Ratatrim. Nimejaribu kucheck na watu wa kariakoo lakini hawanipi...
hizi ni vocha zinazotumika kujiunga vifurushi vya internet kwa ajili ya smartphone maarufu kama switch on. bei yake halisi ni shilingi 15,000 lakini mimi ninaziuza kwa shilingi 10,000 tu hivyo...
Kofia la chuma lenye alama ya ( j ) la mwaka 1918 bei 250,000,000/=)
stova ya shaba yenye alama ya( kifaru) kwa chini ya mwaka 1937 bei 100,000,000/=
chemli ya 888 mwaka 1930 kwa chini ( j )...
Habari zenu watanashati.
Urgently nahitaji mtu anaeweza kuniuzia Samaki aina ya Sato kwa bei nzuri awasiliane nami.
Number yangu ni 0787220742. Tafadhali
1. Nahitaji Sato kutoka ziwani...
Wana JF
Nimepunguza bei ya nyumba hii (Unfinished House).Nyumba ina Hati na ipo Madale, Dar es Salaam. Ramani ya Nyumba ni Ghorofa moja ikiwa na Lounge, Kitchen, Store, Lobby, Pantry na Chumba...
Kwa kifupi haina matatizo yeyote yale ila nimeamua kuuza kwa sababu nataka kununua simu nyingine..
BEI NI 150000..
unapata na charge
Ina screen protector nyeusi ambayo bado ni mpya
Kioo hakina...
ASUS Vivo Book X202E Touch Screen for sale
Windows 8 or other editions available
Up to Intel® Core i3 3217U Processor
žPrecision touchscreen for intuitive enjoyment
Sleek and light...
Let the year 2014 be the year you and your future generations will remain to remember forever by investing for free in Perfect App monthly income generating opportunity.
Perfect App brought to...
Habari zenu wapendwa tunauza vikoi vya kuvaa na kushona jumla na rejareja pia tunafundisha jinsi ya kutengeneza batiki kwa maelezo zaidi nipm...karibuni
GARI HIZI MBILI AINA TOFAUTI ZINAUZWA:
LANDCRUISER GX (OLD MODEL)- MNYAMA!! CC 3560, DIESEL, SEATING CAPACITY 10, YEAR 1993, MILAGE 189,500, LOCATION: KIMARA MWISHO, AT EAGT CHURCH (NJIA...
Nyumba ipo kinyerezi dakika tano kutoka Mbuyuni ina sebule kubwa, na nafasi ya home office, dining room ya kutosha jiko,Store, Choo cha public, vyumba vitatu vya kulala kimoja ni Master bed room...
Habari zenu wapendwa,
Ninatafuta kiwanja Kahama, nahitaji heka moja nje kidogo ya mji maeneo kama ya Kahama sekondari au popote lakini pasiwe town kati. Pawe na access ya maji na umeme.
Kwa alie...
USIKUBALI SIMU YAKO IISHE CHARGE KARNE HII....
Jipatie power bank yenye uwezo wa 20000mAh kwa 60000 tu, unaweza kucharge simu yoyote ile..Nipm au nicheck kwenye 0685452211....karibuni
=======...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.