mwenye photoprinter ya EPSON PX 660

mwenye photoprinter ya EPSON PX 660

madiya85

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2013
Posts
282
Reaction score
65
Haya mwenye hiyo photoprinter tufanye biashara haraka sana piga 0766988326
 
Mkuu Epson px 660 hakunaga siku hizi!. Badala yake utapata px 830 au L800.
Tel 0766320252
 
hiti na hiyo afadhali ipi!

Kwa kigezo cha faida na cost ndogo ya uendeshaji
$ Bora Epson, output kubwa kwa cost ndogo, hivyo faida kubwa, mfano waweza safisha na kuuza hata kwa tsh 200/- na bado ukapata faida kubwa

$ Ila kwa hiTi haiwezekani,

$ Hivyo lengo kama ni biashara hizi epson zenye mitungi kwa nje ndo zenye

$ Karibu
 
shida za wabongo ni hela tu tunauliza ni sh n hamuuwez kujibu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom