Shamba ekari 2 liko ruvu stesheni 30minutes from mlandiz Iiko karbu na mto ruvu 10mita liko Poa kwa kilimo cha umwagiliaji ardhi iko safi bei 3mil
Ukihitaji mashine na mipira kwa umwagiliaji...
Salama wakuu?
Simu tajwa inauzwa bei maelewano (PM), Ni line mbili bila kuzikata, ina miezi kama 4 tangu inunuliwe, black colour, ina vitu vyake vyote na sababu ya kuuza nimepata nyingine...
Nimeshtuka mapema,sasa lazima nifanyikiwe kimaisha,na wewe niunge mkono kufanya yafuatayo
1.USIKUBALI KADI ZA HARUSI
Ndugu zangu pesa za kuchangia harusi au swndoff ni hasara na ujinga kwa...
Habari wakuu? Nahitaji Blog kwa ajili ya kutangaza biashara yangu ndogo mpya, anayeweza kutengeneza kwa budget ndogo kabisaaaa tuwasiliane.Anipatie bei yake ya chini kabisa na muda atakaotumia...
Wakuu
naombwa kujuza nauli ya ndege
kutoka KIA-DAR(return ticket) ni kiasi gani
ijumaa jioni - jpili jioni
kwa precision air
na kama
fly 540 ipo
regards
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.