Habari wanajnvi wenzangu,nilinunua bb9900 kwa mtu dar,sasa dogo nilie mwagiza anichukulie waga anavunga mjuaji sana,baada ya kuichukua akai factor reset,haikuwaka tena,ikawa ukiwasha inawaka white screen ikabidi aitume ivovo,nikajaribu kuhangaika nayo kwenye software ya bb desctop bado ikazingua,nikaipeleka kwa fundi huku bukoba bado ikamshinda ikabidi niichukue,ila ikawa haiwaki tena ile white screen,nw ukiweka betri inawak kile kitaa cha cha juu chekundu tu,haiendelei zaidi ya apo, msaada kwa mwenye ufaham wa hizi simu