Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wapi nitapata huduma ya kuchora tatoo hapa DSM nataka nijichore mwenye kujua sehemu yenye huduma nzuri na kuzingatia usafi Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
0 Reactions
7 Replies
2K Views
wakuu naweza pata wapi hii kifaa hapa dar... na bei iko vp??
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana jf,nahitaji sabuni zilizoumia au kupondeka hata kuvunjika, mwenye nayo au kufaham mahali pakuzipata naomba anipm.
0 Reactions
2 Replies
856 Views
Haya wenyekazi zao. Nipeni bei hapo na ukubwa wake,na maelezo ya ziada. Ikiwa at Walking Distance kutoka Harvard East Africa School itakuwa bora zaidi. Niambiwe na kamisheni yangu kabisa,tusije...
0 Reactions
0 Replies
897 Views
sifa iwe na ram isiyopungua 2gb hdd 500gb in a good condition na bajet yngu ni 350k kwa laptop na 300k kwa desktop pia make sure upo moro.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu habari! kwa hapa dsm wapi naweza pata kiwanja cha wastani kwa ajili ya kujenga nyumba ya makazi kwa2.5M?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamii; Kuna mashamba yanauzwa maeneo ya Bwama hapa Chanika. Ninauza kuanzia ukubwa wa heka moja na kuendelea. Bei ya heka moja ni Tsh MILLIONI MOJA. Kwa mwenye kuhitaji...
2 Reactions
33 Replies
8K Views
Habar wakuu, Nauza lain yangu ya mpesa tigopesa na airtel. Zote nauza lak9, mpesa lak na nusu airtelmoney lak na nusu na tigopesa lak 6. Napatikana kwa namba 0712620078
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Natafuta fedha millioni 7.5 na niaweza kurudisha million 8 ndani ya mwezi mmoja. Dhamana kadi ya gari....Naomba msaada wenu, nina jambo natakiwa kutatua ndani ya mwezi mmoja. Natanguliza...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu nawaletea habari njema. Nyumba yenye title deed ikiwa na eneo la ukubwa wa square meters 645 inauzwa Kigamboni eneo la Mikadi Beach, Mita 200 kutoka lango la Mikadi beach. Nyumba hiyo ina...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Gari IPO ktk hali nzuri imetembea kidogo tu trip za town.IPO dar Bei ni m6.maelezo zaidi ni pm!
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Simu tajwa hapo juu inauzwa Mawasiliano 0763263740
0 Reactions
3 Replies
926 Views
Gari aina ya Toyota Duet inauzwa tshs 4,950,000. Iko kwenye hali nzuri sana haijapata ajali na mafuta inanusa cc 980 (1ltr 18km). Imetembea km 80,000 ,Lady driven .For more details just call 0713...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Chumba kipo mwenge mitaa ya TRA kinapangishwa kwa mwezi 80,000 kwa maelezo zaidi.. 0713415537
0 Reactions
10 Replies
2K Views
shamba lenye ukubwa wa hekari 600 ambazo zipo pamoja linauzwa bei ni Tsh.300,000 kwa kila hekari,kwa anayehitaji anitafute katika 0784339181.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama tangazo lisemavyo nauza hard disc 160 gb kwa 35000 na ram 512 (2) pamoja na hard disk ntakufanyia 50,000 karibuni.
0 Reactions
0 Replies
540 Views
habari wadau kuna fursa napenda ni share na wenzangu ambao wana stationary na wanafunzi wa chuo ambao kwa mtaji mdogo usio zidi laki 1 wanaweza kupata hela ya kujikimu na ugumu wa maisha...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nauza laptop na simu MacBook pro 13'3inch,250gb hard drive,2gb ram 2.2ghz,,webcam WiFi Bluetooth, motorola
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ni Fujitsu Siemen Intel Pentium M 2.0ghz 80gb hdd 2gb ram memory Combo drive wifi 2hrs batry 15'4 LCD screen Bei 200,000/=Tshs 6 months warrants Nichek 0716-844978 Haina Tatizo Lolote.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Back
Top Bottom