Nyumba inauzwa Kinondoni

Nyumba inauzwa Kinondoni

badspender1

Member
Joined
Apr 22, 2014
Posts
74
Reaction score
6
Nyumba inauzwa Kinondoni ,unashuka studio mtaa wa Mwijuma. Bei yake Tsh Milioni 270 piga simu 0715595956/0756595959
 
Attachments

  • kinondoni.jpg
    kinondoni.jpg
    722 KB · Views: 256
Unashuka studio... mwenye shilingi 270,000,000.00 unategemea apande daladala.

Ok, Ipo mwinjuma karibu na mango garden au masai, au komakoma, au biashara complex au .....

Ni nyumba ya miradhi? umepiga picha ukiwa nje ya fensi, inaonyesha mwenye nyumba hajakuruhusu kuingia ndani au ndani vyumba viko vipi?
 
Ipo karibu na mango
 
Nyumba inauzwa Kinondoni ,unashuka studio mtaa wa Mwijuma. Bei yake Tsh Milioni 270 piga simu 0715595956/0756595959

Inaweza ku park landcruser ngapi?? Foundation ni zege ya nchi ngapi?? juu umepauwa na nini?? urefu wa ukuta ni futi ngapi?? Ina garden?? ina tiles na gypsum?? Ina vyumba vingapi? Sema sifa za nyumba.
 
Nahitaji ya mil 70 mpk 80 hata kama nyumba ya udongo kinahitajika kiwanja tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom