Msaada wa nauli za ndege

Msaada wa nauli za ndege

Maganga Mkweli

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2009
Posts
2,089
Reaction score
829
Wakuu
naombwa kujuza nauli ya ndege
kutoka KIA-DAR(return ticket) ni kiasi gani
ijumaa jioni - jpili jioni
kwa precision air
na kama
fly 540 ipo

regards
 
ingia web ya precision utaona mwanajamvi
 
man google au ingia web ya booking online kwa precision
thanx

kamanda nilikuwa kwenye web yao ilanishindwa kuzipata hizo nauli nilikuwa nahitaji kama kuna mtu anazijua anifahamishe fasta maana nimepiga simu yao haipokelewi.. Inabidi nijitahid kesho niende ofc zao tu
 
Return ticket ya Precision inacheza kati ya Tsh 380,000 na 400,000 kutegemea na upatikanaji wa nafasi.
 
Kukata tiketi ya ndege online ni njia bora ya kuokoa kiasi kikubwa cha fedha yako. Hata mimi nilinunua tiketi ya ndege online ( Tiketi.com ) kwa bei nafuu sana.
 
Kukata tiketi ya ndege online ni njia bora ya kuokoa kiasi kikubwa cha fedha yako. Hata mimi nilinunua tiketi ya ndege online ( Tiketi.com ) kwa bei nafuu sana.

Kwani Weekend Tayari?
Naona mzee umekula samaki wa Magufuli,hembu kalale kwanza ukiamka angalia post imeingizwa lini.
Pole kwa Msiba
 
Back
Top Bottom