Natafuta mavyuma mazito ya jimu

Natafuta mavyuma mazito ya jimu

Mastamind

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
1,319
Reaction score
847
Kichwa cha habari chahucka
Natafuta mavyuma mazito yakunyanyua niwe na 6 parks nivutie warembo
Mwenye nayo tukutane PM
 
tafuta pesa hayo mamwili sio ishu mjini labda uyapeleke kijijini kulimia! pesa ndo kila kitu kwa warembo



Hayo kwa afya,, by da wy turudi kwenye context,, vipo havipo?
 
Mwili wako mwenyewe ati uvutie warembo! Kwa nini usikuvutie mwenyewe?




ulishaona mwili ukawa mali yako? jipe mautamu bas km utaweza, mavyuma ndo nayotafuta hapa hayo mengine bakini nayo2
 
Back
Top Bottom