Kuongeza kipato timiza yafuatayo

Kuongeza kipato timiza yafuatayo

political Engineer 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
296
Reaction score
794
Nimeshtuka mapema,sasa lazima nifanyikiwe kimaisha,na wewe niunge mkono kufanya yafuatayo

1.USIKUBALI KADI ZA HARUSI
Ndugu zangu pesa za kuchangia harusi au swndoff ni hasara na ujinga kwa mchangishaji na mchangaji achia hapo ulipocha zinatosha badala yake kila anayekuomba mchango peleka pesa hizo benki akaunti yako itune.

2.KUBALI KUCHUKIWA NA NDUGU
Ndugu zangu utajiri siyo lelemama ndo maana wengine wanauana kwa kupata utajiri,ndugu zako wakitaka ofa za kijinga kataa kata

3.KUBARI KUITWA BAHILI HATA FAMILIA YAKO
Ndg jipe commitment hata kama ni kula wali maharage na ugali maharage mwaka mzimq.hii imekuwa ngumu kwa watu wengi ndo maana ni vigumu kuficha cku ya msharara.mtu akipata mshahara mavyakula kibao hata wenye wachumba siku hyo utawajua

Nitaendelea ndugu zangu.....
 
We umeshaogeza ngapi kwa siku?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom