badspender1
Member
- Apr 22, 2014
- 74
- 6
Nyumba inauzwa Kinondoni Studio, ina vyumba 3 kimoja master. inafaa kwa matumizi ya Ofisi(ilikua inatumika kama ofisi) pia inafaa kwa makazi. Ina mfumo wa umeme wa njia 3, ina maji na imezungushiwa ukuta na ina geti.
Nyumba ipo umbali wa mita 70 tu kutoka barabara kuu ya Kawawa. Bei ni Tshs Millioni 270.
Simu: 0756 595 959 / 0715 595 956
Nyumba ipo umbali wa mita 70 tu kutoka barabara kuu ya Kawawa. Bei ni Tshs Millioni 270.
Simu: 0756 595 959 / 0715 595 956