Natafuta mtu anayeweza kuwekeza katika uundaji wa vifaa vya electronics

Natafuta mtu anayeweza kuwekeza katika uundaji wa vifaa vya electronics

Transistor

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
1,061
Reaction score
1,640
Nimekuwa nikidesign vifaa vya electronics kwa kuzingatia mahitaji na matatizo yanayo ikabili jamii yetu kwa muda sasa.

Kutokana mahitaji kuongezeka nimekuwa nikishindwa kukabiliana na order nazo pokea kutokana na mtaji pamoja na vitendea kazi.

-Pia lengo langu jingine ni kuboresha na kuongeza production ya vile navyo vibuni ili viweze kukidhi vigezo vya kimataifa.
kwani nimekuwa nikipoteza order kubwa sababu tu ya kukosa mtaji wa kuitimiza oder husika au ukossefu wa vifaa.

-Nina experence ya ubunifu wa vifaa vya electronics kwa muda wa miaka 15 sasa nikiwa na elimu ya elctronics ya ndani na nje ya nchi.
-Kwa vifaa ambavyo na-design sasa vinahitaji mtaji mkubwa ili kuweza kukabiliana na mahitaji yake.

-Kwa kuwa ni ubunifu mara nyingi vifaa navyo zalisha vinakuwa havipo katika masoko au hata kama vipo vinakuwa na utofauti ambao unafanya kitu changu kiwe na sababu ya kuhitajika zaidi.

-Faida yake ni kubwa na ya kulidhisha na kwa kuwa mara nyingi kitu nacho buni kinakuwa hakipo katika masoko ya kawaida imekuwa ni rahisi kuuzika kwa faida nzuri.


Ubunifu wangu hauna mipaka nabuni vitu mbalimbali.

kwa yeyote ambaye amenielewa na anatamani kuja kufanya kazi na mimi anijuze kwa PM.

Pia unaweza kufatilia makala zangu tofauti tofauti ambazo nimewahi kupost katika jukwaa la Tekinolojia

Kwa ambaye yuko tayari kuwekeza awe tayari kuboresha uzalishaji huu ili uwe katika kiwango bora tofauti na ninavyo fanya sasa.

hapa


Mfano wa products zangu

IMG_20140914_151225.jpgIMG_20140919_190807.jpgmes1.JPGmes8.JPGTR.JPG
 
Back
Top Bottom