Gari inauzwa aina ya Passo

Gari inauzwa aina ya Passo

baba N

Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
94
Reaction score
72
Passo 2005, cc 1290, km 97000, bei milioni 8
Ipo dar
anayeitaji anitafute kwenye 0713110581 au 0685665766
 
Baba Nuru,ukiona watu wanapita tu na hawaulizi kitu ujue tangazo lako linamapungufu makubwa.
Kubwa moja ni Picha.

Bila Picha utanadi hadi kiama hatokei mtu serious.

We weka picha uone watu watakavyoanza kujadili,siku hizi wanunuzi hawanunui gari kirahisi namna hiyo kwa maelezo tu na kutafutana kwenye sim,Kuna vitu vya mwanzo ambavyo mtu akijua na kuviona vitamfanya ajue anaanza kukuuliza kuanzia wapi..
 
asante ushauri mkuu.simu ninayotumia kuna muda ilikua inanisumbua kuattach
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom