Waheshimiwa bahati mbaya nimepoteza simu yangu....hivyo naitaji smartphone ya kuweza kuipata week hii inayyoanza.
Iwe kwenye hali nzuri isiwe imechakaa au mikwaruzo.
Bajeti yangu ni 100,000...
Shamba (Eneo) zuri na safi, limeshang'olewa visiki vyote na kusafishwa kwa buldozer. Lipo tambarare na limeshapimwa. Lipo katika eneo lenye mchoro Wa Ardhi na sio Squater. Mchoro ni housing...
Habari wana JF...msaada wa kupata mashine ambazo hutumia cement pamoja na udongo then baada ya kuchanganya mchanganyo huo hupata tofali ambazo haziitaji kuchomwa.
Nauza kiwanja changu chenye ukubwa wa mita 20x40
maeneo ya kinzudi usukumani.
Mkataba wa mauziano na cheti cha umiliki toka halimashauri ya wilaya kinondoni kinachotolewa na serekali za mtaa...
Ninaflash simu aina zote na kutoa lock uweze kutumia laini zote kwa bei rahisi sana, mfano blackberry, nokia na iphone kwa njia ya software ni elfu 30 tu. Pia ninatoa lock wa njia ya imei (simu za...
Ina Vyumba vitatu vya kulala, kimoja self contained, public toilet and bathroom, sebule, dining na jiko. Nafasi kubwa ya parking.
Ipo Ilala sharif shamba.
Kwa mawasiliano piga 0654308809.
Email...
wadau natafuta vyumba viwili vya kupanga maeneo ya mwenge yanayotazamana name barabara za chuo na Sam nujoma.
Maji yawepo na gari ifike
bajeti yangu ni 100,000-120,000
contact 0718 587667
Ina vyumba viwili na sebule, choo cha nje, haina jiko. Ipo Sinza Palestina nyuma ya Mwika bar. Ni nyumba ya pili kutoka barabarani. Kodi 200,000/= inatakiwa ya miezi 4, anarudishiwa mtu amehamia...
nahitaji vyumba viwili vya kuishi maeneo ya mwenge mlalakuwa,mpakani au savei Maji yawepo na nyumba isiwe ya wapangaji wengi pia gari ifike
bajeti 100-120,000 pia kama vipo maeneo ya ubungo...
ipo karibu na shule ya secondary feza, ni vyumba vitatu vya kulala,master moja,sebule kubwa,uwanja mkubwa,geti na iko baribarani kabisa.. ni laki 8 kwa mwezi,malipo mwaka moja.. interested ani pm
Husika na kichwa cha habari.
Nyumba ipo pugu kajiungeni maeneo ya kwa mwema, mbele kidogo ya shule ya msingi pugu kajiungeni.
Nyumba yenye vyumba vitatu,sebure,chumba cha kulia(dinning room)...
Aina ya Simu: Sony Xperia T - LT26i,
Hali yake: Used & haina michubuko,
Uwezo:16GB internal memory, 1GB ram,
Camera: 13mpx camera & 1.7mpx cam ya mbele,
OS: Android OS...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.