Je una Biashara Na unahangaika kupata Wateja?, siri imefichuka.
Kwa yeyote mwenye Biashara ambayo Wateja wake wengi ni kutoka nje ya Tanzania, Biashara kama ya hotel, utalii au yoyote ambayo...
Jipatie tofali imara kwa bei nzuri hapa mjini arusha kutoka NOKEL INVESTMENT viwanda vipo Olasiti ila tutakupelekea mzigo wako pale ulipo.
Kwa mawasiliano: 0754925169
Karibu ujenge na sisi.
Wadau,
Natafuta nyumba ya kupanga Arusha , kodi isizidi 200,000, mwendo wa gari kutoka katikati ya mji usizidi dakika 15, nyumba iwe na vyumba 2, chumba kimoja self, sebule, choo ndani.
0684...
Nauza eneo, viwanja vya ukubwa mbalimbali eneo tambarale lipo sehemu nzuri imechangamka na kuna huduma za jamii karibu. Eneo halijapimwa, karibu na shule ya Mabwepande, zahanati ya serikali...
kiwanda cha kutengeneza nguo na tenda aina zote
kwa tenda za shule uniforms
gwanda za kampuni binafsi na serikalini
nguo za harusi shela na suits zza kisasa tuxedo single buttons
unafuatwa ulipo...
Pop up fashion tunapokea tenda mbalimbali kwa ajili ya kushona na kudarizi nguo zote, Tenda kama za makampuni kwa ajili ya wafanyakazi, walinzi, sare za maofisini, suti za kisasa kabisa, Magwanda...
Wadau kiwanja kinauzwa Madale jirani na kwa Marehem Kawawa, jirani na barabara kubwa, ukubwa ni 25 kwa 60. Bei 15m na laki 5, umeme upo na mtandao mabomba ya maji upo karibu. Meza ya mazungumzo...
Shamba (Eneo) zuri na safi, limeshang'olewa visiki vyote na kusafishwa kwa buldozer. Lipo tambarare na limeshapimwa. Lipo katika eneo lenye mchoro Wa Ardhi na sio Squater. Mchoro ni housing...
- Water dispenser westpoint 100,000/=
- Laptop acer aspire housing imelegea 150,000/=
- Huawei Y300 zpo mbili kama mpya @130,000/=
Bei zote ni fixed kwa picha nichek kupitia 0654070066...
Vyumba 2 [1masta] sebule, na choo cha nje chako mwenyewe. Sehemu ya kupikia Ipo.
Contacts: 0683 499 369 / 0752 953 860
Wahi!
============
Update:
Kodi ni laki 2 / mwezi, miezi 6 anachukua...
Wadau habari za Jumapili;
Leo nimeingia jiji la Arusha nikitokea Dar nikakutana na rafiki yangu ambaye tulisoma nae chuo akaniambia anataka anishirikishe jambo kuhusu biashara ya mtandao kampuni...
Ina Vyumba vitatu vya kulala, kimoja kati ya hivyo ni self contained, public toilet and bathroom, sebule, dining na jiko. Nafasi kubwa ya parking.
Ipo Ilala sharif shamba.
Kwa mawasiliano piga...
Ukubwa wa engine: 2499cc
Mwaka: 2005
Imetembea: 135000km
Vitu vya ziada: Speaker ya Watts 1000, amplifaya na cross over na touch screen radio inch 15
Bei: milioni 19,maelewano yapo
Contact...
Habari zenu wakuu.
Natumai mu-wazima kabisa bila kupoteza muda ni kwamba kama mada inavyoeleza hapo juu kuwa kuna biashara hapa chini ;-
Aina : TVS KING
Engine : 4 Stroke
Muda : 1yr...
Husika hapo juu wakubwa nahitaji iwe na vyumba 2 au 3 vyakulala pamoja na sebule jiko n.k. ofa yangu laki moja na nusu.(150,000) uwezo wangu miezi sita kulipa. Unaweza nicheki kwa namba 0765791233
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.