Vyumba viwili na sebule choo vinapangishwa sinza

Vyumba viwili na sebule choo vinapangishwa sinza

mwipande

Member
Joined
Jun 13, 2014
Posts
57
Reaction score
13
Ina vyumba viwili na sebule, choo cha nje, haina jiko. Ipo Sinza Palestina nyuma ya Mwika bar. Ni nyumba ya pili kutoka barabarani. Kodi 200,000/= inatakiwa ya miezi 4, anarudishiwa mtu amehamia mkoa. Baada ya hapo utaendelea kulipa miezi sita sita. Nicheck inbox kwa maelezo zaid, picha hapa sina.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom