Bei imepungua kiwanja mita 20x40

Bei imepungua kiwanja mita 20x40

NEXTLEVEL

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2012
Posts
857
Reaction score
396
Nauza kiwanja changu chenye ukubwa wa mita 20x40
maeneo ya kinzudi usukumani.
Mkataba wa mauziano na cheti cha umiliki toka halimashauri ya wilaya kinondoni kinachotolewa na serekali za mtaa.
UMEME HAUHITAJI NGUZO YAANI UNASHUSHA TU WAYA.
bei mil 18
0717017820
 
We umenunua au wewe dalali tuu haa?

Pole sana unazani kila mtu ni dalali? ungefika kilipo uwaulize majilani mmliki wa hicho kiwanja na ucheck jina langu kwenye namba yangu ili uthibitishe.Nadhani hata hela yenyewe ya kununua hauna unaleta maneno ya kitoto kwenye biashara.
 
Wewe kama unazo hela nunua mwenyewe
 
Back
Top Bottom