Nauza kiwanja eneo la cheka njia ya kwenda Kimbiji ukubwa ni 25 kwa 35 bei sh Mil 3 tu kiwanja kipo karibu na barabara kubwa, Mwenye kuhitaji call /sms to 0719222432 Karibuni!
Wakuu kwema?!
Aisee natafuta TV LED 3D kuanzia nchi 32 na kuendelea iwe na miwani zake bei isizidi laki tano (500,000) nipo Dar,, mwenye nayo tuwasiliane kwa 0688 997179 au nichek pm.
It allocated at Mbezi Beach opposite with Con Chonjo residence it have two master bedrooms other four bedrooms two public toilets one down one upstairs one kitchen loundary room one store big...
Kiko wilaya ya bunda, juu ya milima ambayo inatazama mbuga ya wanyama Serengeti, na pia kutazama view nzima ya mji wa bunda, ni eneo zuri kwa kujenga hotel ya kitalii pia shule,
Kwa mawasiliano...
Kiwanja kinauzwa Kipo Kinyerezi. Kina ukubwa wa mita 25 kwa 30. Kipo Kinyerezi maeneo tulivu umbali wa dakika 5 tu kutoka barabara ya lami Kinyerezi mjini. Bei ni Tsh Milioni 20.
Simu...
We professionally fix faulty computers (desktops and laptops) at unbeatable prices and service quality. Whatever the nature of the fault, we will fix it. We also install computer hardware and...
Wadau Nauza Friza kubwa kama linavyoonekana kwenye picha hapo chini bado ni Jipya limetumika miezi miwili tu,bei inaanzia laki tano(500,000) ila tunaweza kuelewana. aliye serious ani PM tuongee zaidi.
Habari wana JF mwenye kuhitaji eneo maeneo ya kiseke B wilaya ya ilemela mwanza lina ukubwa wa hekari moja ni zuri na panafaa kwa makazi. Bei inaanzia milioni 20. kwa mwenye kuhitaji apige namba...
Kimbiji kigamboni 24 Acre of farm land for sale. Suitable for residential, Business store and live stock keeping,, cantact 0784/0715 746 840.. The farm is located 3km from Lake Cement Industry.!!.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.