Nahitaji bodaboda kwa ajili ya biashara

Nahitaji bodaboda kwa ajili ya biashara

mukiza2014

Member
Joined
Nov 7, 2014
Posts
34
Reaction score
1
Kwa wiki 50,000/= nipo Dar es salaam kwa mkataba ILA sitahitaji boxer naogopa kifo labda fekon,sanlg na nyinginezo namba yangu 0714064767
 
Mukiza naona umejiunga jana na leo umetupia.
Unaogopa Kabali za Mwabepande.

Hembu niambie kama una wadhamini wa Kuaminika.
Wanaweza kuwa: -Wazazi wako wenye makazi ya Kudum
-Ndugu au Jamaa mwenyedhamana na wewe.
Na pia wewe Pamoja na Mdhamini wako Muwe mnatambulika na Serikali ya Mtaa.
 
ninae mzazi ambaye Ni mama yangu na PIA Nina ishi kwangu nimepanga Nina mke na watoto naomba utaratibu Wako nijue ili nianze kufanya kazi ndgu yang Mimi naishi ubungo msewe
 
Mukiza,kwanza kuna habari nijmeisoma kwenye post nyingine kwamba unauza Figo.
Sasa mkuu hapo inakuwaje tena.
 
Ni rafiki yangu alikuwa anahitaji kufanya hivyo nimemkataza ILA nikwamwambia ngoja nimtangazie ili aone maoni ya watu je Ni kitu kizuri au kibaya kwasababu Ni bora afanye kwa juhudu atafanikiwa
 
Hahaha Mukiza unarusha mateke sasa,haya bwana nimekuelewa.
Ila kuwa makini sana na maisha,India wengi wauza Figo halizao sas ani balaa,maana Wahindi walikuwa wanauza mafigo yao hadi Serikali ikaingilia kati.

Tuje kwenye Mada:-
Kesho narudi zangu Zenji,ila Wiki ijayo ninakuja tena huko nana nisipokuja mie basi Wife atakuja,nitakutafuta Ijumaa kwa maongezi zaidi.Maana mie madereva wangu wote wanatumia Boxers sasa aina nyingine wewe ndio wa mwanzo najua unaogopa Loba.
Tutawasiliana,na kama nitakuja kabla ya muda nitakutafuta.Maana madereva wangu wote huwa wananiambia aina ya Pikipiki wanayotaka ambao wote ni Boxer na pia rangi wanayotaka na aina ya Helmets wanazotaka kisha ndio nanunua ili mtu awe comfortable zaidi na chombo chake.
 
asante Sana ntashukuru ndgu yang utakuja tuongee mengi ili nianze kufanya mi napenda nifanye kwa amani kwasababu boxer Ina majanga mengi isitoshe Mimi Nina familia inanitegemea ndgu yangu kwa hyo wiki hii nikutegemee
 
Your are not serious,Wewe unapigiwa sim halafu unazima sim.
Nimekupigia sim muda mrefu na muda wote umezima,usipotezee watu Muda,au umeishauza figo upo Hospitali?
 
hapana ndgubyangu simu ilikata chaji usinifikirie vibaya sawa lkni jaribu kkunipigia tena
 
Mtoa Figo hembu sema muda gani simu yako inakuwa wazi.
Maana ukipigiwa haipatikani.
Kesho mdogo wangu anakuja huko,sasa kama upo serious weka sim sawa utafutwe,ukizingua basi,maana anarudi kesho kutwa ili akukabidhishe sehem husika.
Make sure unawadhamini wa uhakika sio mkeo,
 
simu yangu ilikuwa inasumbua chaji kuanzia kesho ninapatikana bila wasiwasi ndgu yangu nipo tayari
 
Haya hembu niambie aina gani ya pikipiki upatiwe.
Maana unajua mie nimezoea Boxers kwa Drivers wangu,lakini wewe uliniambia unaogopa kupelekwa Mwabepande.
Sasa nipe aina gani kati ya ulizotaka unaipenda zaidi,ili kesho akija apitie Mjini kuulizia bei zake.Maana hata mie sizijui zaid ya Boxers tu.Ila huyo Mchina zina bei zake.

So,nime aina mbili ambazo ukipata moja kati ya hizo ni sawa kwako
 
fekon au sanlg kwangu Ni poa Tu ntafanya nayo kazi bila wasiwasi kuliko boxer maana Nina familia mtoto mchanga ananitegemea na mke wangu
 
Nipe detail zako.nikutafute.usichelewe tuuuh.
 
asante ndgu, namba yangu Ni 0714064767 naishi ubungo msewe - Dar es salaam ILA pikipiki nisiyohitaji Ni boxer ndgu yangu maana nimeona marafiki zangu wengi wamepoteza maisha kwa kukabwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom