Habari zenu,
Natafuta mirunda 600 na mbao use (cyprus 1 by 6 na 4 by 2)ambazo hazikukatwakatwa kwa ajili ya ujenzi eneo la kigamboni kitapewa kipaumbele
Kama unazo tafadhali pm (na bei yako)
This is a larger apartment spreading across two floors of an apartment building connected by staircases within and with its own entrance from outside. It has 4 bedrooms (1 bedroom on ground floor...
This is a larger apartment spreading across two floors of an apartment building connected by staircases within and with its own entrance from outside. It has 4 bedrooms (1 bedroom on ground floor...
Ofa ofa kiwanja nauza kipo maeneo ya mtoni kijichi dar es salaam kwa bei ya tsh.milioni kumi na saba (17,000,000) kina ukubwa wa mita 25 kwa 25 kiwanja ni flati na kina ukuta mmoja na...
Wanajf nina vitu vichache ambayo kimsingi kwa sababu ya kukosa isimamizi mzuri wa duka la vifaa vya ujenzi nimeamua kujumlisha vyote kwa yeyote anaehitaji anicheki what's up tuchat ikiwa na pamoja...
Nyumba ya vyumba 6, kati ya hivyo 4 vikiwa ni master, Vyote vimefungwa AC, dinning,sitting,study room,store,kitchen na public toilet. Ina eneo kubwa la kutosha hata kufanyia sherehe, garden ya...
Je ni muhitaji wa kiwanja Iringa mjini ama Mafinga kwa bei unayoimudu, vipp vya size mbalimbali na bei tofauti tofauti, NiPM ama contact me on 0655101998
Wadau nauza Techno S3 (elfu 80) na hyo tablet mchina (elfu 70) vyote vipo katika hali nzuri na vina kila kitu chake(charger + earphones)
Kwa anaehitaji pm kwa mawasiliano zaidi.
Nauza simu Nokia Lumia 520, TZS 150,000 tu. Haina scratches na imetumika miezi miwili. Nauza sababu naona android ni bomba kuliko windows.
First come, first served.
Hallo.
PAVING MARIDADI zinapatikana kwa bei nafuu ya Tsh450@.
Au Kama utahitaji kufanyiwa hapo hapo ulipo(Unanunua mwenyewe materials)
Gharama ni Tsh=15,000 kwa Mfuko wa Cement.
Tuwasiliane...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.