Nauza Playstation 3, Tshs 420,000/=

Nauza Playstation 3, Tshs 420,000/=

franco15

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Posts
518
Reaction score
208
Nauza playstation 3 laki nne na 20 if ready ni-pm ni mpya kabisa ina siku 3 tu unapata kila accesory.

attachment.php
attachment.php
 
Mkuu PlayStation 4 naitafuta, mwenye nayo tuwasiliane
 
Mkuu PlayStation 4 naitafuta, mwenye nayo tuwasiliane

Mkuu ps4 bongo hupati used labda uagize nje via ebay amazon. Ukitaka mpya nenda mlimani city
 
Hii ndo item yenyewe sasa
 
Attachments

  • 1416462309065.jpg
    1416462309065.jpg
    74.5 KB · Views: 183
Another shot
 
Attachments

  • 1416462392167.jpg
    1416462392167.jpg
    75.7 KB · Views: 172
Lastly
 
Attachments

  • 1416462696014.jpg
    1416462696014.jpg
    60.6 KB · Views: 99
Mkuu ps4 bongo hupati used labda uagize nje via ebay amazon. Ukitaka mpya nenda mlimani city

Mkuu una ufahamu wowote juu ya kuagizakitu kupitia ebay? Kuna sony shake 7 nilitakaga kuagiza kupitia hawa jamaa ilikua yauzwa $640 nikaogopa. Hebu nipe detailsjuuya kuwatumia hawa wadau.
 
Mkuu una ufahamu wowote juu ya kuagizakitu kupitia ebay? Kuna sony shake 7 nilitakaga kuagiza kupitia hawa jamaa ilikua yauzwa $640 nikaogopa. Hebu nipe detailsjuuya kuwatumia hawa wadau.

Mkuu jaribu amazon kule vitu ni cheap na vingi utapata free shipment. I rmbr ps4 nilikuta kama laki 7 hivi
 
Back
Top Bottom