Nauza kiwanja kingine tsh.mil 17

Nauza kiwanja kingine tsh.mil 17

Joined
Aug 9, 2013
Posts
23
Reaction score
5
Ofa ofa kiwanja nauza kipo maeneo ya mtoni kijichi dar es salaam kwa bei ya tsh.milioni kumi na saba (17,000,000) kina ukubwa wa mita 25 kwa 25 kiwanja ni flati na kina ukuta mmoja na kimezungushiwa foundation ya zege..wahi sasa nipigie 0717342771 kwa maelewano.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom