Mirunda na mbao used

Mirunda na mbao used

mchakavumlasana

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
389
Reaction score
213
Habari zenu,

Natafuta mirunda 600 na mbao use (cyprus 1 by 6 na 4 by 2)ambazo hazikukatwakatwa kwa ajili ya ujenzi eneo la kigamboni kitapewa kipaumbele

Kama unazo tafadhali pm (na bei yako)
 
safi kwa ujenzi ninayo ila ndio bado ipo site inafanya kazi ila baada ya wiki tatu hivi watafumua hata marine board zipo ila site ipo mbezi
 
Back
Top Bottom