dip pub
JF-Expert Member
- Jul 16, 2014
- 389
- 74
Nyumba ya vyumba 6, kati ya hivyo 4 vikiwa ni master, Vyote vimefungwa AC, dinning,sitting,study room,store,kitchen na public toilet. Ina eneo kubwa la kutosha hata kufanyia sherehe, garden ya kutosha na imezungushiwa uzio. Iko Tegeta, kodi ni
Mawasiliano piga: 0714358610
Mawasiliano piga: 0714358610