Nahitaji kiwanja maeneo ya Goba,,,
Kiwe karibu na barabara,,
Kiwe kinafikika kwa urahisi,,
Bajeti yangu ni sh 5,000,000/=
Kama unacho julisha ili tufanye biashara!!
Kila mtu anajua akina baba wengi kuanzia miaka 40 nakuendelea wana matatizo ya kupungikiwa na nguvu za kiume na kukua kwa tezi dume(enlargement of the prostrate). Akina mama wengi wenye miaka...
kiwanja ni kikubwa kina fence ya ukuta uliojengwa kwa Tofari pia kina nyumba ya vyumba viwili imekamilika kwa mtu kuishi na sehemu kubwa ya kujenga.
Tuwasiliane kwa simu namba 0764423402
KARIBUNI
Husika na kichwa cha huu uzi.
PC ipo katika hali nzuri isipokuwa ina michubuko kwa mbali katika motherboard haswa maeneo ya chini.
Sifa zake ni hizi: Ram 2 GB; Processor 1.87 GHz na HDD 500...
dsmprice|Service in your Hands
⇨Suzuki KEI USED car FOR SALE.
⇨Engine capacity 650 cc
⇨Year 1999
⇨Kilometer 81000
⇨Fully registration is done with number . T208 CUJ...
Wapendwa naomba mnijuze kwakuwa naamini kuna watu wanauzoefu kuliko mimi,sijatumia simu za samsung ila ninataka fanya mabadiliko,kuna mtu anataka anipe simu ila amenipa choice ya simu tajwa hapo...
Nanunua ufuta popote ndani ya tanzania naufuata huko huko ulipo kuanzia kiasi chochote kile gharama zote juu yangu juu ya usafirishaji tuwasiliane0682116396
Habari!
Kiwanja cha makazi chenye ukubwa wa mita 35x22 ambacho kipo katikati ya makazi ya watu mtaa wa kihonda morogoro mjini kinauzwa.
Kiwanja kina nyaraka zote muhimu na kina asses na...
Wadau, kiwanja kinauzwa Goba centre, kina hati ambayo inasomeka kwa jina la muuzaji. Kina ukubwa wa sqm 750. Bei ni 27m meza ya mazungumzo ikowazi.
Kwa mawasiliano piga 0773 944 944
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.