Je moto wako umeisha?

Je moto wako umeisha?

Marietta

Member
Joined
Oct 1, 2014
Posts
11
Reaction score
1
Kila mtu anajua akina baba wengi kuanzia miaka 40 nakuendelea wana matatizo ya kupungikiwa na nguvu za kiume na kukua kwa tezi dume(enlargement of the prostrate). Akina mama wengi wenye miaka zaidi ya 40 wanapokaribia kukomahedhi(menopause) wanapata mabadiliko makubwa ya hormonesyanayosababisha kuwa na hasira, kusikia joto, kupungua kwa hamu ya tendo landoa,unene nk.

FOREVER MULTI-MACA ni bidhaa Inatokana na mmea uitwao maca, au Lepidium Meyenii kutoka nchi ya Peru wenye historia yamiaka zaidi ya 2000 kwa kuongeza stamina ya mwili. Haina madhara na ina faidakubwa sana kwa wanaume na wanawake. Wanawake wa Peru wanatumia maca kuanziawakiwa na umri wa miaka 3 ili wawe na nguvu, hamu ya tendo la ndoa nauwezo wa kuzaa. Ina protein nyingi katika mfumo wa amino acids na virutubishomuhimu vinavyosaidia kazi ya kuamsha ishara za hamu ya tendo la ndoa
Faida:

  • Aphrodiasiacactivity – INAONGEZA HAMU YAMAPENZI KWA AKINA MAMA NA AKINA BABA KWAASILIMIA ZAIDI YA 180, STAMINA NA NGUVU
  • Inasaidiakuondoa depression-msongo wa mawazo.
  • Inasadiakupunguza kasi ya kukua kwa tezi dume(enlargement of the prostrate).
  • Inasaidia kuondoamadhara ya kukoma hedhi-menopause
  • Inarutubisha mayai
  • Inaongeza idadiya mbegu za kiume(sperm count) kwaasilimia 200 , na uwezo wa mbegu kuogelea vizuri(mobility)
  • Ina balancekiwango cha chuma kwenye damu
  • Inasaidia kupromote matumizi ya glucose kwenye damukubadilishwa kuwa nguvu na si kugeuzwakuwa mafuta.
  • InaL-Arginine: L-Arginine ni amino acidambayo miili yetu inaibadilisha kuwa nitric oxide, ambayo inasaidia mishipa ya damu kutanuka na hivyo kuongezamzunguko wa damu mwilini, kitendo kinachosaidia kuongeza nguvu za kiume.

Unasubiri nini?
Kwa maelezo zaidi piga:
0769888605
0786139316

Attachments

  • multi_maca.jpg
    multi_maca.jpg
    47.4 KB · Views: 139
Kwa vile umeingia choo sicho.Wamekuchunia ngoja nikujibu
Kwanza acha uongo,tafiti zako sizo kabisaaaa.
Hembu muogope Mungu kwanza,we Dawa gani umeona Duniani ya Kuondoa mawazo zaidi ya kusikiliza neno la mungu upate Faraja.Dawa moja tiba telee

Yaani tangu serikali ianze shunghuli ya kuwashughulia na mabango yenu basi ni sheeeda.
Kila mtu naongeza Nguvu za kiume.Nyie ndio mnaongoza kwa kuongeza wagonjwa wa Cancer Ocean road.

We tafuta mtu mwenye Age hiyo umkute anasimamia show ndio utajua.

Waganga wengine mmekimbia kijijini kuja mjini mwisho wake ndio huo,kesho utasikia unaunga watu na freemason.
Halafu wengi sana mmetoka Kanda ya ziwa.

Nakushauri tafuta magazeti ya Shigongo ndio dizaini zako,wenzio wapo mle teleee na matangazo yao.Wengine hadi utajiri ukitaka wanakupa.
Akili kumkichwa,tunawachoka sasa.
 
Wewe unaweza ukawa umetuchoka lakini wapo wengi wanaotushukuru! Hutaki unaacha!

https://www.foreverliving.com/marketing/Product.do?code=215Lepidium meyenii - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom