Habarini wakuu. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza natafuta Charger ya Hp ElliteBook laptop bajeti yangu ni 30,000 kama unayo ni Pm.
Natanguliza shukrani
Wadau, habari zenu?
Nahitaji kununua hizi Rel time Tracker - zinafanya kazi kama inavyoelezwa kwa huku Bongo pia?
Nimeona zingine zinatumika ktk baadhi ya nchi tu, siyo duniani kote (mfano hii...
Ni pikipiki kwa matumizi ya starehe tu,cc50, speedmeter 60km/saa, namba c, kwa bei nafuu tsh 900000 tu.karibu sana.aliye serious tu tutaelewana akiiona. Dsm.
Pm ama tumia 0716013287
Mimi ni mfugaji wa kuku chotara (weusi na wekundu), na ninauza mayai kwa maelewano. Niko Tegeta Dar es Salaam.
Anayehitaji mayai anitafute kwa namba 0762 115 885.
Habari wajasiriamali wenzangu,
Kwa wale wote ambao wangependa kupata mayai ya kutotoleshea vifaranga vya mayai toka breed bora kabisa ya ISA BROWN,basi shida yako imekwisha,nipigie kwenye no...
DR TAYE,
Mtaalamu wa tiba asili, anadawa za nguvu za kiume na kuongeza uume saizi upendayo, dawa za kutoa makovu na madoa na mistali ya ngozi nakuwa soft. Dawa za kutoa uvimbe bila kupasua...
kwa yeyote anayeweza kunipatia taarifa za kiwanja moshi mjini uelekeo wa kawawa kutokea moshi mjini kisiwe mbali na barabara kuu ya moshi dar na kiwe 5 - 20 km kutoka mjini moshi na 50 m kutoka...
Wajameni,
Nina heka 20 za shamba maeneo ya Vianzi karibu na Vikindu, Kisarawe Pwani. Ni moja ya maeneo yanaokua na kuendelezwa kwa kasi sana. Katika hizo nina mpango wa kuuza heka tano. Kama uko...
Habari zenu nahitaji kiwanja maeneo ya Goba kisiwe mbali na barabara kuu, na kiwe kinafikika kwa urahisi, umeme uwe jirani, Bajeti yangu ni 6million ila naweza kuongeza kidogo kulingana na ukubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.