Ipo kibaha picha ya ndege pwani,vyumba 7,stoo 1, choo na bafu vinajitegemea,na inawapangaji, nyumba haina mgogoro,anaye uza ni mmiliki mwenyewe,bei ni 15ml,
mawasiliano
0686958013
0755143486
kwa wale wafanyabiashara wanaochukua mizigo nje china,canada,korea,bidhaa kama nguo aina zote,wax,bell za nguo za watoto,bel za viatu,na bidhaa zingine,kama unahitaji kuongeza matawi ya biashara...
An uncompleted 3 bedroom house at the roofing level in a serene and secured environment with water and electricity is going out for sale. All rooms have toilet and bathroom facilities. Master...
JE WEWE NI MJASILIAMALI AU MFANYABIASHARA?
Sasa unaweza kupata mikopo kwa riba nafuu kama una biashara iliyosajiliwa yenye Leseni na TIN number.
Mikopo inatolewa Kuanzia 1,500,000 mpaka milion...
Tunauza mafridge used lakini yaliyo katika hali nzuri kama mapya, na mafreezer pia, bei inaanzia 200000 na kuendelea kutegemeana na aina unyoitaka, na usafiri wa kukufikishia kwako upo. Pm. zipo...
Wadau kiwanja kinauzwa bei nafuu kiko kawe umbal kidogo karibu na bich sq 800 bei mil 25,ila inapungua na pia ukitaka tupunguze sq mita tutapunguza kadri uwezavyo kutokana na pesa yko! Wah mapema...
Boma la vyumba vinne linauzwa chamazi gari inafika ni mita 100 kutoka barabara ya kuelekea katika uwanja wa klabu ya azam
Bei ni tsh 15 mil
mawasiliano ni 0689005003
Wakuu,
Kuna materials kwa ajili ya slab tunauza. Ni complete set kuanzia marine boards (50), ,mirunda (300), mbao 2x4 (100),1x6 (40), 1x9 (45). Vifaa vimetumika mara moja tu.
Hii set inatosha kwa...
Gari aina ya HONDA CR-V ya 2002 kutoka Uingereza inauzwa kwa gharama ya makubaliano. Gari ni used ya
Uingereza na imeingia Tanzania mwezi wa nane 2014. Imetembea kilometre 179,800 na ipo kama...
Habari wapendwa?? Natafata mahala pa kupanga (mwanza) kiwe ni chumba na sebure ikiwezekana na jiko.. Lakin hata bila jiko naweza kupanga. Quality iwe poa. Yenye ceiling board. Mobile #...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.