MARCO JOHN Member Joined Jun 1, 2012 Posts 96 Reaction score 35 Dec 27, 2014 #1 Wakuu nahitaji iphone yeyote kati ya hizo mbili kwa mwenye nayo na anaiuza ani PM tufanye biashara bila longolongo...nawasilisha
Wakuu nahitaji iphone yeyote kati ya hizo mbili kwa mwenye nayo na anaiuza ani PM tufanye biashara bila longolongo...nawasilisha
gkileo JF-Expert Member Joined Apr 16, 2010 Posts 1,096 Reaction score 487 Dec 27, 2014 #2 Iphone 5 Iko ktk hali nzuri sana , ni kama Mpya ,sh. 600,000. Piga 0658131333
kwenda21 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 3,423 Reaction score 3,416 Dec 27, 2014 #3 Hela ndogo hiyo
Kidege Member Joined Jul 18, 2009 Posts 87 Reaction score 7 Dec 27, 2014 #4 Hautaweza kununua. Nakushauri under apple store uchukue mpya kabisa. Ili kuondoa lawama ya bei.
MARCO JOHN Member Joined Jun 1, 2012 Posts 96 Reaction score 35 Dec 27, 2014 Thread starter #5 Kwahyo apple store ndo bei ndogo kuloko hizi za mikononi mwa watu mkuu?
KRISTIAN P JF-Expert Member Joined Feb 16, 2013 Posts 359 Reaction score 69 Dec 27, 2014 #6 Nina 5S bei ni 700,000..