Kiwanja kinauzwa Goba centre

Bizney

JF-Expert Member
Aug 2, 2013
455
195
Wadau, kiwanja kinauzwa Goba centre, kina hati ambayo inasomeka kwa jina la muuzaji. Kina ukubwa wa sqm 750. Bei ni 27m meza ya mazungumzo ikowazi.

Kwa mawasiliano piga 0773 944 944
 
Ansah Miles

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
392
225
Goba centre ndio wapi au ndio kwenye makutano ya barabara za mbezi luis~masana na ile ya makongo juu
 
Ansah Miles

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
392
225
Mkuu kiwanja hicho kiko barabarani ama ndani kidogo .kama ni ndani je ni umbali gani Kuja barabara kuu hii inayojengwa
 
Kinyau

JF-Expert Member
Nov 24, 2006
902
1,000
Mkuu Bizney kwa faida yako , yetu na wengine wote wanaosoma matangazo yako--ukiweka tangazo weka complete information, never assume watu wanajua unaongelea nini:

Weka kwa dhana hii:

Kitu uuzacho: mfano Kiwanja cha ukubwa sq m 1000, eneo la tambarare
Sifa zake: Sq 1000, kuna maji na umeme karibu. Kipo kwenye kona au jirani kuna shule metre 200 from there
Eneo: mf Goba centre, KmXX kutoka mbezi masana/ tanki bovu na kiwanja kipo Km XX kutoka Goba centre
Nyaraka zilizopo: Hati iliyotolewa mwaka XX
Mawasiliano: Simu no XXXX
Bei : tsh XXX , mazungumzo yapo

bila hivi utakazana karibuni wadau mara elfu, kuna watu kama tangazo lako limekaa nusu nusu , tayari unaonekana una utapeli fulani kumbe sivyo. All the best.
 
Reazon Zeph

Member
Aug 24, 2013
82
0
goba kungungu st joseph dk 10 to 15 from massana hosp tangibovu kina nyumba ya kukarabati ina umeme mita ya luku maji yapo jirani sana " nyumba ya jirani "20*25 eneo gari inafika mpaka mlangoni bila usumbufu bei 23m maongezi yapo marefu tu! 0653992118 kwa info zaidi
 
Mkuu unakunywa bia gani? Yaani tungekuwa tumekaa mahali ningemwita yule binti haraka akusikilize na mtu wa jikoni angeambiwa achangamke.

Anyway, nampenda mtu anaye nisahihisha. Ulichofanya ni ibada, unajua ibada si kushinda misikitini na makanisani tunamlilia Mungu, bali ibada ni kuyaishi tunayofundishwa huko. Asante
 
Reazon Zeph

Member
Aug 24, 2013
82
0
goba kungungu st joseph dk 10 to 15 from massana hosp tangibovu kina nyumba ya kukarabati ina umeme mita ya luku maji yapo jirani sana " nyumba ya jirani "20*25 eneo gari inafika mpaka mlangoni bila usumbufu bei 23m maongezi yapo marefu tu! 0653992118 kwa info zaidi
bei imeshuka from 20m maongezi yapo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom