Macbook Pro inauzwa kwa Laki Nne tu!

Macbook Pro inauzwa kwa Laki Nne tu!

HAMY-D

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2011
Posts
7,146
Reaction score
3,830
Husika na kichwa cha huu uzi.

PC ipo katika hali nzuri isipokuwa ina michubuko kwa mbali katika motherboard haswa maeneo ya chini.

Sifa zake ni hizi: Ram 2 GB; Processor 1.87 GHz na HDD 500 GB.

Kuhusu betri, kama ilivyo kawaida kwa Macbook Pro, inakaa na charge kwa masaa 2 au zaidi, of course inategemea na matumizi yako.

Kwa yeyote mwenye uhitaji tuwasiliane kwa PM, napatikana Dar.
 
Tupia kapicha katanishawishi kuhamia pm
 
Back
Top Bottom