Bado sijapata mteja ile boda boda yangu nahitaji laki tisa tu !! Imetumika miezi 8 haina tatizo lolote, kadi ipo !! Sababu ya kuuza ni kwamba ninahitaji pesa ya ada ya chuo !! Ambaye yuko...
Jipatie vitenge aina mbalimbali kutoka Smart African Designs..
Bei ni nafuu kuanzia 25,000/= Culture na 30,000/= Mckenzie original..
Kwa mawasiliano/Whatsapp: 0786527572
Mikoani tunatuma
Karibuni
Ni msimu wa senene... Karibu ujipatie Senene wazuri (wenye pilipili tamu wapo) kutoka Bukoba kwa bei nafuu..
Bei zetu ni shs 3,000 kwa container dogo, 5,000 container size ya kati na 10,000 kwa...
Hey guys,
I would like to present to you dukalote.com a new classifieds website for Tanzanian residents. It's simple and free, who doesn't want simple and free, not me. Take a look at it post you...
Nauza Nissan march yangu kwa 3.5 million, pungufu unaongea. Ni ya mwaka 2005, km 72,368, full ac. Vibali Insurance ipo hai hadi 23/12/2015, motor vehicle inadaiwa 382,500 na inahitaji marekebisho...
habari yenu,ninatoa huduma ya ku unlock simu za vodafone na huwaei, watu 5 wa mwanzo free unachotakiwa kufanya tuma IMEI YAKO HAPA,kuangalia imei bonyeza *#06#,thanks.
Cloud and Dedicated servers that are backed with Enterprise grade SSDs (Solid State Drive) enabled by Redundant Array of Independent NAND (RAIN) show a very noticeable improvement over their other...
Salaam,kheri ya mwaka mpya kwenu nyote.
Kwa eote fulsa io ya kibiashara,vyombo vipyaaa kabisa,vipo dar es salaam.
Kwa utangulizi tu kazi zake;kupiga muziki sehem mbalimbali,mfano
1.harusini...
kiwanja Dar es Salaam,kipo Salasala-Kinzudi.Kimebaki cha Ukubwa wa square mita 400 yaani 20x20, umeme upo na nguzo ya umeme iko jirani kabisa na kiwanja.Pamejengeka na nieneo linalokuwa kwa...
Nauza laptop mpya aina ya Asus x551m notebook PC....ina 2GB ram na 500GB HDD na processor ya 2.2GHz...Ina window 8,webcam na vikolokolo vyake vyote kama CD+user manual yake. Sijawahi kuitumia...
kiwanja Dar es Salaam,kipo Salasala-Kinzudi.Kimebaki cha Ukubwa wa square mita 400 yaani 20x20, umeme upo na nguzo ya umeme iko jirani kabisa na kiwanja.Pamejengeka na nieneo linalokuwa kwa...
Nyumba ina pangishwa ina vyumba viwili vya kulala kimoja kina master,jiko la ndani na luku inajitegemea. Bei 250,000 kwa mwezi. 0769407306ATTACH]215766[/ATTACH]
TUNAITAJI MAFUNDI WA KUFLASHI SIMU NA KU UNLOCK KWAAJILI YA KUFANYA NAO KAZI WAWASILIANE NASI,
MAWASILIANO YETU 0753-120120 , 0753-325959 WEB:www.bestunlocksolution.com...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.