Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 11,007
- 10,399
Wakuu hembu mwenye kujua anisaidie number za Mikumi Veta Lodge/Hotel.
Kuna wageni wangu nataka walale pale
Kuna wageni wangu nataka walale pale
Sasa hii kali,nimeomba number yao nimepewa Dalali.
hahahaha, bongo tambarale, pole mkuuSasa hii kali,nimeomba number yao nimepewa Dalali.