Gari rav4J inauzwa, Sumbawanga manispaa

Gari rav4J inauzwa, Sumbawanga manispaa

Hebie

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2012
Posts
1,415
Reaction score
879
Rav4 ipo katika hali nzuri inauzwa, imetembea kilometre 85115 ni ya mwaka 1998, bei 13.5mil, for serious Bayer no yangu ni 0765742066 1420382747985.jpg1420382793717.jpg1420382793717.jpg
 

Attachments

  • 1420382776944.jpg
    1420382776944.jpg
    52.5 KB · Views: 363
  • 1420382819497.jpg
    1420382819497.jpg
    52 KB · Views: 356
  • 1420382839406.jpg
    1420382839406.jpg
    53.5 KB · Views: 361
  • 1420382867081.jpg
    1420382867081.jpg
    70.4 KB · Views: 366
Price negotiable
 
Be foward wako wapi hadi ninunue kwako?? Wauzie wafipa wenzako

Inamaana sumbawanga wanaishi wafipa pekee? Dar- wazaramo, Moshi, wachaga.... Ukabila 2015 u ataka kutambika?
 
Duh mkuu hiyo bei ni special kwa sumbawanga tu naona m 13 kwa rav 4 ya mwaka 98 kaka ona aibu basi atleast ungesema hata m 10 na maongezi yapo
 
Ina namba za usajili za hivi karibuni lakini inaonekana ishapigwa puti za kutosha
 
Mimi Nina ra4 imenishinda kulipia ushuru Wa hapa nimefuria,iko Zanzibar kule nimesha ilipa,Nataka million kumi na mbili
 
Punguza kidogo wenye hela watakuja, achana na hawa wazinguaji sio wanunuzi, wao ni kejeli tu....
 
Ina namba za usajili za hivi karibuni lakini inaonekana ishapigwa puti za kutosha

Imeingia tanzania may 2014 haijawahi kupigwa pasi wala kupigwa puti mkuu
 
Mimi Nina ra4 imenishinda kulipia ushuru Wa hapa nimefuria,iko Zanzibar kule nimesha ilipa,Nataka million kumi na mbili

Mkuu 12 plus tax difference sasa si itakuwa 15....iyo iko juu kaka labda iwe model mpya zaidi ya hii ya mleta mada!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom