Nauza toyota vitts

Nauza toyota vitts

emanuel kiduvilo

Senior Member
Joined
Aug 5, 2014
Posts
165
Reaction score
20
Bei poa tu 5.5m top picha chin apo kwa mawasiliano tumia hii no 0768359292
 
Attachments

  • 1420321699835.jpg
    1420321699835.jpg
    79.4 KB · Views: 572
  • 1420321719430.jpg
    1420321719430.jpg
    105.8 KB · Views: 513
  • 1420321735669.jpg
    1420321735669.jpg
    68.8 KB · Views: 515
  • 1420321751787.jpg
    1420321751787.jpg
    90.8 KB · Views: 510
ya kwako au dalali???? Kama yako ina maana hata jina huijui.... Vitts ndo gari gani??
 
Nje nzuri ila ndani imedimbaa... Ulikuwa unapiga rafu road sana nii vumbi likaingia?? Kula 3 basi halafu injine na hapo mbele hatujapaona.
 
bora ukiuze tu hicho kigari maana huku kwetu Kondoa ndio hakifiki (rough road)
sanasana chukua 2.5m kikakae mjini kupelekea watoto shule
TAXI hakiwezi kabisa mnaweza ingia chini ya SCANIA 240
 
Muwe serious basi na biashara za watu:

Kula 2.5 mkuu

Nje nzuri ila ndani imedimbaa... Ulikuwa unapiga rafu road sana nii vumbi likaingia?? Kula 3 basi halafu injine na hapo mbele hatujapaona.

Mkuu kula 1m kaka kanisaidie kufugia sungura!!

bora ukiuze tu hicho kigari maana huku kwetu Kondoa ndio hakifiki (rough road)
sanasana chukua 2.5m kikakae mjini kupelekea watoto shule
TAXI hakiwezi kabisa mnaweza ingia chini ya SCANIA 240
 
Muwe serious basi na biashara za watu:
Investa bora useme maana hata huyo anaesema kula 2.5 ukimwambia haya njoo tufanye biashara kwa hiyo 2.5 hautamuona! Yan unakuta mtu anataka umuuzie bidhaa kwa bei anayotaka yeye kumbe hata hiyo hela anayoitaja hana hata mkononi! Yan humu kuna watu humu wapo special kabisa kwa ajili ya kuwakatisha wenzao tamaa na kuwakejel! Sio vizur wapendwa
 
Mfano humu kwenye matangazo kuna nissan march yangu ya mwaka 2005 nimeweka naiuza bei ya kuanzia 3.5 lakin kuna mwingine anakwambia nina 2.5 bas namwambia njoo uione gar na tufanye biashara, mwisho wa siku haumuoni! Mmhhh! Maisha haya. Sasa unaanza kumtafsiri huyo mteja alikuwa anakujarib, anakuenjoy ama alikuwa sirias? Ndo maana kwenye kuuza gar kunahitaj uvumilivu!
 
Nje nzuri ila ndani imedimbaa... Ulikuwa unapiga rafu road sana nii vumbi likaingia?? Kula 3 basi halafu injine na hapo mbele hatujapaona.

Kudimba ndo nini mdau lugha ya wapi hyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom