Nauza laptop mpya kabisa.

Nauza laptop mpya kabisa.

juniour12

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2013
Posts
407
Reaction score
378
Nauza laptop mpya aina ya Asus x551m notebook PC....ina 2GB ram na 500GB HDD na processor ya 2.2GHz...Ina window 8,webcam na vikolokolo vyake vyote kama CD+user manual yake. Sijawahi kuitumia tangu itoke nje.
Bei ni 500000...Nina shida ya ela ya haraka.
 
Asus x551m notebook PC mpya
 

Attachments

  • 1420261144188.jpg
    1420261144188.jpg
    31.9 KB · Views: 192
  • 1420261173450.jpg
    1420261173450.jpg
    39.5 KB · Views: 190
  • 1420261198169.jpg
    1420261198169.jpg
    52.7 KB · Views: 192
  • 1420261224552.jpg
    1420261224552.jpg
    40.1 KB · Views: 179
  • 1420261251134.jpg
    1420261251134.jpg
    32.6 KB · Views: 187
  • 1420261283084.jpg
    1420261283084.jpg
    53.3 KB · Views: 174
Ungeweka na picha ingesaidia zaidi

Nimeweka picha mkuu though nimeshindwa kuunganisha kwenye bandiko langu la kwanza....Simu ilikuwa inasumbua that's why nikashindwa kuweka picha jana mkuu...Karibu
 
Back
Top Bottom