Kiwanja Kinauzwa Salasala-Kinzudi

Kiwanja Kinauzwa Salasala-Kinzudi

NEXTLEVEL

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2012
Posts
857
Reaction score
396
kiwanja Dar es Salaam,kipo Salasala-Kinzudi.Kimebaki cha Ukubwa wa square mita 400 yaani 20x20, umeme upo na nguzo ya umeme iko jirani kabisa na kiwanja.Pamejengeka na nieneo linalokuwa kwa kasi.Hakijapimwa.Bei 8m
0769 222 882
 
Umeme unashusha waya nguzo iko karibu kabisa na kiwanja.Karibuni.
 
Kimebaki cha 20x20 sawa na sqr mita 400.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom