If you have a property to sell and would like to advertise to this website free of charge contact Mr Kitomai on 0784225000 or email info@kitomai.com or whatsapp +255755312233.
If your home is...
Kama kuna anayefahamu show room ambayo naweza enda na kupata hio gari kwa hela hiyo, hata ikibidi niongeze kidogo naomba anitaarifu...it's urgently needed, naomba iwe Dar es Salaam.
Not necessary...
habar wapendwa.mikanda ya kupunguza tumbo imefika kwa wale waliokosa.na kwa wanaohitaj pia mikanda ipo.ni ya mtumba.naleta ulipo.bei ni elfu 30.napatikana kwa namba 0712620078
Viwanja maeneo ya mabwepande,jumla ya hekari 30,kwa bei ya shilingi milioni 6 kwa kila hekari,maelewano yapo kidogo.eneo halijapimwa.wasiliana nano through 0717567879 for viewing
Nyumba inapangishwa ipo isamilo mwanza
One master bedroom
2 rooms
One/public toilet/ndani
Kitchen
Verrandar
Sitting room
Toilet
Fence/Gate
Security/watchman available
Power
Water
Tiles
Cool area...
PP Real estate Agency inawalete package ya viwanja vyenye ubora na kwa bei rahisi kabisa
Mahali: Viwanja vipo katika mazingira ya kuvutia, kwa sasa viwanaja vinavyouzwa vipo maeneo ya chanika...
husika na kichwa cha habari hapo juu ni ghorofa ya vyumba vinne vywoo vya wageni,maji yapo sehemu ya packing ya gar, jiko kila kitu muhimu .... ghorofa ina jutegemea ..... kodi tsh 1300,000/= @...
Wadau wa Tanzania and East Africa wote tunawakaribisha ktk hotel ya kisasa sana nchini china ukifika pande za GuangZhou usikose kufika kupata chakula cha East Africa na cha West..karibuni sana...
Gx 110 inahitajika mara moja. Iwe na no za usajili kuanzia no c au d, millage isizidi km 120,000, rangi yyte tu, isiwe imewah kupata ajali na iwe kwenye hali nzuri. Kuna 8m hapa.
Used
iPad 16gb, wifi, 3 generation
Designed by apple in califonia,
Assembled in china
Atakayeinunua atapewa offer ya kuchagua keybord wireleess/bluetooth bureeeee
Bei maelewano
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.