banda linauzwa chanika.
ukiliboresha nakufanya nyumba ya kupangisha basi utapata chumba sebule sita. (vyumba sita na sebule sita
Umbali wa kilomita moja kutoka main road
Eneo linaukubwa wa sqm 500...
Air conditioner used moja ni CHIGO na nyingine ni BOSS...bado zipo vizuri sana..laki nne na nusu kila moja..
nipigie tufanye biashara...0752039770 au 0719934875
Ipo kibaha picha ya ndege pwani,vyumba 7,stoo, choo na bafu vinajitegemea,barabara hadi uwanjani,namba ya nyumba ni KT/PL/855, inahati miliki na anayeuza ni mmiliki mwenyewe,bei ni 15ml,na...
Nina ATM 30 zilizokwishatumika zinauzwa.
baadhi zinafanya kazi lakini nyingine hazifanyi kazi (for spares)
ATM zote sina safe zenye funguo na combination lock.
naziuza kwa bid, mwenye bid nzuri...
Kiwanja kipo karibu na viwanja vya serikali vya kupima kisota, kutokea ferry unapitia njia ya kisiwani ni km 6. Kiwanja kipo karibu na daraja jipya la kigamboni ni kilometer
Wapendwa anaejua hilo gari,uimara wake na matumizi yake hasa hapa bonhe pls anisaidie ushauri maana nataka kuagiza au kama mtu analo namba C/B Nzuri tunaweza kuongea nipo ver serious na hili.
Laptop specifications:
Brand : Toshiba
HDD : 500GB
RAM: 4GB
Processor : i3 @2.4ghz
Battery: almost 2 hours for normal usage.
Laptop Adapter Available.
Used but in a very good condition.
Nipo dar...
Ndugu wanajamiiforum,
Je unataka kuokoa fedha zako,na mtaji wa biashara yako kwa kununua vifaa vya DELL kutoka kiwandani moja kwa moja bila middle man? Chussy International tunaweza kukusaidia...
Mobile Data Collection (MDC) is a Technology that you use your mobile phone to collect data in field, be it for your Business or Academic purposes. You can send a team of your employees to collect...
O-Level Math App (Past Papers, Solutions & Review Notes) hii hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.myexample.Math_Form_pro&hl=en
Share na wengine watakaofaidika nayo.
Ahsante
A very well presented 4 bedroom detached property offered in good order throughout and comprises of entrance hall, large lounge, dining room, fitted kitchen, 4 generously sized bedrooms (two with...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.