mgusi mukulu
JF-Expert Member
- Oct 24, 2013
- 715
- 682
Daraja jipya linatokea kisota?
Daraja jipya linatokea vijibweni ni umbali wa 1.5 km kutoka eneo lilipo . Kwani umbali meter kama 450 na barabara ya kutoka kibada -ferry inayopitia kisiwani moja kwa moja. Kwenda ferry kuna barabara mpya ya lami inatengenezwa kuelekea kibada.na kiwanja kipo kisota. Na kinapakana na kisiwani karibu na nyumba za wachina mpya.
Mgusi, huwezi kukikata ukauza half??
Hapana mkuu kwani kwa sehemu ilipo huwezi kukikata maana ni sentimeter 30 tu vilipo viwanja vya serikali.
Mwisho sh ngapi???