....siku moja nilijiuliza." Hivi hizi nyumba zote ninazo ziona hapa DAR mbona mimi sina la kwangu?."jibu nililojijibu imekuwa msingi wa mimi kumilika nyumba 2 mpaka sasa hapa DAR.
Jibu ilikuwa...
Kiwanja kinauzwa, kipo Mbuyuni njia ya kwenda Tegeta, Kina ukubwa wa 20x20,
Kutoka barabarani mpaka kwenye kiwanja ni mwendo wa dakika 5 kwa bajaji,
Kinauzwa Shilling Milioni 15, ambaye yupo...
Wadau kama kuna mtu anaweza niambia wapi naweza kupata original battery za samsung S3 na S4 hapa Dar maana kila ninazonunua nakuambiwa ni original mwisho wasiku ni fake
Wadau habari zenu?
Naomba kujua bei ya kunua 1 karat ya Almasi kwa hapa Tanzania.
Mwenye kujua na maelezo mengine namna ya kupatikana,please naomba ani PM.
Asanteni wote.
Habari wakuu...nauza simu ya samsung s3.
16Gb...internal
4.3 Android version
1.7Ghz processor
2Gb...Ram
8Megapixel...back camera
2Megapixel...front camera
##PM me if ur interested for the...
Kwa yeyote anayehitaji mirunda, mbao, na marine board zilizotumika tafadhali tuwasiliane baada ya wiki 2 kuanzia leo. Marine board ziko size 18 na 12 mm. Mbao zipo size (inches): 2x2, 4x2, 1x9, na...
Kwa wale wenye maeneo yao sehemu za Chamazi, Kitunda, Chanika na Kilomo(Bagamoyo). Budget 4 million. Mwezi March ntakua DSM nahitaji kiwanja kizuri.! Watsap 0763479113.
Ninauza laptop za Hp Probook i5 Processor
Original toka Uingereza
Hazina matatizo yeyote
Hazina michubuko
Hard drive: 500GB
RAM: 4GB
Zipo kwenye hali nzuri sana
Zina Windows 7, MS Office na...
habari ndugu zangu wa jf, naomba kujua kama kuna mtu yeyote ambaye anaframe anakodisha kwa ajili ya biashara mjini Arusha,kwanzia maeneo ya mjini kati mpaka maeneo ya kaloleni,soweto au makao...
Nauza nissan march shiling million 4.2 kamili no discount clean inside na mziki wa kutosha imetembea km 140250 ipo dar kwa aliye serious an pm 0714511079
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.