Chussy International: Kwa mahitaji yako ya Stationery

Chussy International: Kwa mahitaji yako ya Stationery

aminiusiamini

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Posts
3,577
Reaction score
2,227
Ndugu wanajamiiforum,

Je unataka kuokoa fedha zako,na mtaji wa biashara yako kwa kununua vifaa vya DELL kutoka kiwandani moja kwa moja bila middle man? Chussy International tunaweza kukusaidia kwa hilo.Tunachofanya ni ku price match product yoyote ya dell from DELL.COM na tutakupa kwa bei nzuri chini ya hio.

Kama unahitaji vifaa vya ofisini kama vile computer (desktop),laptops and printers.Tunaweza kuwasiliana kukufanikisha katika hilo.

huduma tunazotoa ni kuanzia maofisi makubwa,shule,na taasisi zote zinazohitaji stationery kwa bei nafuu.Vifaa vyetu tuna import moja kwa moja kutoka USA na tuna watu wanaaminika kukusaidia.

Chussy international tunahusika zaidi na wholesale.....

kwa mawasiliano zaidi unaweza kutuma barua pepe kwa kutumia ophil@chussy.com

Chussy International
Dell representative/wholesaler
Networking Communication Equipment.
Printing and Copier services
Surveillance camera installations
.

Ophil@Chussy.com
 
computer zote ni dell.Tunauza kwa large quantity
 
Back
Top Bottom