Viwanja: Wazo Mivumoni kwa Makamba

Viwanja: Wazo Mivumoni kwa Makamba

Mwitakesowani

Member
Joined
Jul 24, 2012
Posts
94
Reaction score
29
Wadau ninauza viwanja viwili vyote vipo wazo Mivumoni kwa Makamba.

1. Kiwanja cha kwanza ukubwa ni 20*20- Maji umeme vipo na usafiri wa daladala unapatikana mpaka karibu na kiwanja. Bei ya kiwanja ni milioni 14.

2. Kiwanja cha pili hakipo square. Ukubwa wake ni kama ifuatavyo;

- Kaskazini- mita 25
- Mashariki0 mita 25
- Magharibi mita- 25
- Kusini mita 12.

Kifupi kina umbo la trapezium, kipo jirani na kiwanja cha kwanza nimwendo wa dakika 5 toka kiwanja cha kwanza kilipo. Umeme na maji vinapatikana bila shida.
Bei ya kiwanja hiki ni milioni 13 .

Kwa mteja ambaye yuko serious na anahitaji tuwasiliane kwa namba hizi. 0786855280 au 0712172380. Ikumbukwe kuwa viwanja hivi havina udalali mimi ndiye mmiliki halali wa viwanja hivi. Kwa mteja atakayehitaji vyote atavipata kwa bei ya jumla 20ml.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom